Kila mtaalamu ana mahitaji tofauti, chagua jinsi unavyotaka wataalamu wetu wakujengee CV yako mpya yenye kukuhakikishia kupata Interview nyingi zaidi za kitaifa na kimataifa.
Chagua mafanikio na ujuzi wako kwenye mfumo. Wataalamu wetu watatumia taarifa hizo kuunda 'Keywords' na mpangilio wa kimataifa unaopita kwenye chujio la ATS.
Una CV tayari lakini imechoka au haina ushawishi? Ipakie hapa. Wataalamu wetu wataipitia na kuipanga upya katika muundo wa kimataifa unaoshinda mifumo ya ATS.