🚀 Mfumo Namba 1 wa Wataalamu Tanzania

Acha kutuma CV zinazokataliwa na Mifumo (ATS).

Zaidi ya 74% ya CV kwenye soko la ajira zinatupwa na kompyuta kabla ya kusomwa na binadamu. Kazify inatumia 'Keywords' za sekta yako kujenga CV ya kiwango cha kimataifa inayoheshimika na kupita chujio.

Viwango vya Kimataifa Data za Kitanzania

Kwanini hukosi wito wa Usaili?

Shida mara nyingi sio uwezo wako, bali ni namna CV yako inavyowasiliana na mifumo ya kisasa ya HR.

Mifumo inakukataa (ATS).

Waajiri hutumia roboti kuchuja maombi. Kama CV yako haina 'Keywords' sahihi au muundo unaosomeka kiurahisi, inatupwa hata kabla haijafika kwa HR.

Mpangilio Usioeleweka.

Unatuma maombi mengi lakini hupati majibu? Mfumo wetu unachuja ujuzi wako kwa mpangilio unaoonyesha thamani yako ndani ya sekunde 6 za mwanzo.

Suluhisho Ndani ya Masaa 24.

Wataalamu wetu na mtambo wa 'Enterprise White' vinaungana kukupa CV ya kiwango cha kimataifa. Jenga kupitia mfumo au tuachie sisi tufanye kazi ngumu.

Mchakato Wetu

Pata CV Mpya ndani ya Dakika 5.

Sahau kuhusu kuanza kuandika upya. Mfumo wetu unafanya asilimia 90% ya kazi ngumu kwa niaba yako.

01

Chagua DNA Yako

Tuambie sekta na kazi unayofanya. Mfumo utakuletea orodha ya mafanikio na ujuzi uliothibitishwa; kazi yako ni kubofya tu yale yanayokuhusu. Hakuna kuumiza kichwa.

02

Tathmini ya Papo Hapo

Mfumo utachakata 'Keywords' zako na kukupa asilimia ya ushindani wako sokoni (ATS Score). Utaona muundo wa CV yako mpya kabla hata hujalipia.

03

Pakua PDF Yako

Chagua kifurushi chako, jaza taarifa chache za mwisho (kama tarehe na vyuo), na upakue nakala yako safi ya PDF mara moja. Uko tayari kuomba kazi.

Matokeo ya Mwisho (Final Product)

Sio tu Karatasi. Ni Muundo wa Enterprise White.

Tumeacha miundo yenye rangi nyingi na picha zinazochanganya mifumo. CV yako mpya inajengwa kwa kanuni zinazotafutwa na Wakurugenzi (HRs) na kusomeka kwa urahisi ndani ya sekunde 6.

  • ATS Ready (Roboti)

    Muundo usio na 'tables' au 'columns' zilizojificha. Inapita kwenye chujio lolote la kielektroniki duniani.

  • Keywords za Kitaalamu

    Badala ya kusema "Niliuza sana," mfumo unatumia lugha ya matokeo kama "Niliongeza mauzo kwa 15%."

  • Usafi na Mvuto (Typography)

    Fonti rasmi za kiofisi zenye nafasi (whitespace) inayompa msomaji urahisi wa kutambua uwezo wako haraka.

100% ATS Ready

Wekeza Kwenye Kazi Yako.

Chagua kifurushi kinachoendana na mahitaji yako. Hakuna malipo ya siri, unalipia ubora wa uhakika.

Standard (PDF)

25,000 TSH

Inafaa kwa wataalamu wanaohitaji CV haraka na kupakua moja kwa moja.

  • Inakidhi viwango vya ATS (Dunia nzima).
  • Muundo safi wa Enterprise White.
  • ⏱️ Masaa 24 Muda wa kukamilika (Uki-upload).
Anza na Standard
Inapendekezwa Zaidi

Executive VIP

35,000 TSH

Inafaa kwa nafasi za ushindani mkubwa. Wataalamu wetu wanaingia kazini.

  • Huduma zote za Standard, na pia:
  • Barua ya Maombi (Cover Letter).
  • Mtaalamu (Binadamu) kuhakiki lugha.
  • Marekebisho ya bure (Free Corrections).
  • ⚡ Masaa 12 Muda wa kukamilika.
Anza na Executive →
Malipo Salama 100% Inapokea mitandao yote ya simu Tanzania

Inajengwa kwa Kufuata Miongozo ya Mifumo Kuu ya Kitaalamu

Workday.

Taleo.

GREENHOUSE

SmartRecruiters